Header Ads

;

Umesikia majibu ya Vanessa kwa vitisho vya Shilole? (Check video hapa)

Shishi Baby alitangaza vita kwa Vee Money kwa kumtishia kumchapa vibao watakapokutana. Vanessa hakutikiswa na vitisho hivyo.
https://youtu.be/hUVcqK8K2fo
Nimewaza nimejaribu kuungaunga visentesi hapa vya Kiswahili ili unielewe,” Vee anasikika akimjibu Shilole kwenye video ya Instagram aliyoifuta muda mfupi baadaye. “But look, there is now way, there is no time, it’s too much effort to try lower a little myself and what I stand for your nonsense, kama huelewi chukua time na vimaneno vyako viwili vya Kiingereza,” anaongeza. “Look, we are not the same, wewe unauza nini, ngumi? Msanii gani wewe? As I am here working, you can do your thing and keep tryna run your mouth and get yourself your Igunga masses.” Kuna maelezo yanayokinzana kuhusiana na sababu iliyowafanya wawili hao waingie kwenye ugomvi.

No comments