Header Ads

;

Messi atangaza kustaafu kuichezea timu ya taifa ya Argentina [JOHMUSIC NEWS]

Lionel Messi baada ya timu yake ya taifa ya Argentina kupoteza mchezo wake dhidi ya Chile katika mikwaju ya penati, ametanga kustaafu kuichezea timu yake ya Taifa.
Dakika 120 za mchezo huo zilishuhudia timu hizo zikienda suluhu ya bila kufungana na baadaye kuingia katika hatua ya matuta.
Messi ameuambia mtandao wa TYC Sports kuwa ni bora astaafu kuichezea timu yake ya taifa kwa kuwa ni mara ya 4 timu hiyo inashindwa kuchukua kombe lolote licha ya kuingia fainali.
“My time with the national team is over. After losing 4 finals, this isn’t for me,” alisema Lionel Messi
Mchezaji huyo mahiri duniani ni mmoja kati ya wacheza wa Argentina ambao walikosa penati katika mchezo huo.

No comments