Header Ads

;

Lyrics/Mashairi >>Rich Mavoko - Ibaki Story | Lyrics

[Verse 1] Matapishi ni kinyaa kuzirudisha tena kwenye kinywa Japo mengi ulisema, kama nuru ghafla ukazima Ikawa ngumu kukusahau, nikasema moyo ukome Kwa kali sulu na madharau, penzi ulivunja na ngome [Pre-Chorus] Na unajua hata nikilia siwezi kutokwa na machozi We ndo ulifanya macho yangu nione wengi waongo Aa ukaudhurumu moyo wangu, uliuza penzi kwa magendo Leo unatamani wewe kurudia zamani, ni ndoto Wewe nirubuni kwa penzi la kidani kama mtoto [Chorus] Mi na wewe, acha ibaki story mi na we Mapenzi mi na wewe, acha ibaki story mi na wewe Mi na wewe, acha ibaki story mi na we Mapenzi mi na wewe, acha ibaki story mi na wewe [Verse 2] Kiliniumiza kitanda na shuka tuliolalia Mapenzi yana siri kubwa, sishangai mtu akilia Nimekubali mboni zangu zimtazame mwingine Maridhia ya moyo wangu huenda si fungu pengine Cha kushangaza hadharani mengi ya kuficha ukaweka wazi Nikahisi sijui mapenzi, labda kwako sinogi nazi [Pre-Chorus] Na unajua hata nikilia, siwezi kutokwa na machozi We ndo ulifanya macho yangu nione wengi waongo Aa ukaudhurumu moyo wangu, uliuza penzi kwa magendo Leo unatamani wewe kurudia zamani, ni ndoto Wewe nirubuni kwa penzi la kidani kama mtoto [Chorus] Mi na wewe, acha ibaki story mi na we Mapenzi mi na wewe, acha ibaki story mi na wewe Mi na wewe, acha ibaki story mi na we Mapenzi mi na wewe, acha ibaki story mi na wewe [Bridge] Yalinitesa mazoea aya Lakini mi nishazoea mwaya Ila tambua mapenzi mabaya Kidonda chake hakinaga dawa Ee mazoea aah Lakini mi nishazoea mwaya Ila tambua mapenzi mabaya Kidonda chake hakinaga dawa [Chorus] Mi na wewe, acha ibaki story mi na we Mapenzi mi na wewe, uuh uuh Mi na wewe, acha ibaki story mi na we Mapenzi mi na wewe, uuh uuh Download Rich Mavoko - Ibaki Story Mp3 - See more at: http://www.johventuretz.com/2016/06/rich-mavoko-ibaki-story-lyrics.html#sthash.Rcu0jA64.dpuf

No comments