Header Ads

;

DIAMOND PLATNUMZ KUCOPY AIDIA YA VIDEO YAKE KIDOGO

Kuna usemi unasema kuwa ‘hakuna kipya kwenye ulimwengu’ kweli sasa naweza kuanza kuamini. Hii ni baada ya msanii Diamond Platnumz kudhihilisha kuwa watanzania hatuwezi kufikilia vitu vipya. Hivi karibuni DIAMOND PLATNUMZ ameachia video na audio yake akiwa amewashirikisha P-SQUARE kutoka Nigeria. Nyimbo inaitwa KIDOGO. Ofcourse ni boonge moja la video, lakini uzuri wa video hiyo wote unaonekana umetokana na kucopy na kupest kwa idea kutoka Magharibi, yaani Ulayaaa…
http://youtubeinmp4.com/redirect.php?video=2KwkgQTYaQM&r=Y8PDaSJwLtN0mPZVEQsm01csOQ5DXI9BzQ7IFVyQvuw%3D
Picha linaanza baada ya Theclick101. Com kufanya upekuzi wa kiintelejisia juu ya uhalisi wa video hiyo, mmmmmmmhhh..!!! tulichokikuta ni aibu. Asilimia 80 ya aidia yote ya video ni kutoka kwenye video za wasanii wa Marekani kama Tiger, Taylo Swift… BONYEZA HAPA CHINI NIMEKUWEKEA VIDEO YA PICHA HILI ZIMA.. DOWNLOAD SONG

No comments