Header Ads

;

News>>Video: Roma amechana kimombo tupu kwenye ‘Kaa Tayari’

Kesho Roma anaachia video na wimbo wake mpya, ‘Kaa Tayari.’ Nimeitazama teaser ya video hiyo na kugundua kitu tofauti na nilivyomzoea Roma.
“Now days things are changing and I am going crazy, have you seen the pictures who changed and became gay,” anarap Roma kwenye wimbo huo.

Kwenye ngoma hiyo, Roma amewashirikisha Darassa na Jos Mtambo huku producer akiwa ni J-Ryder. Video ya wimbo huo imeoongozwa na Nick Dizzo.

No comments