Header Ads

;

Video-Picha | Diamond na Ne-Yo washoot video ya wimbo wao "Marry You"

Hatimaye Diamond na Ne-Yo wameshoot video ya wimbo wao, Marry You.
http://youtubeinmp4.com/redirect.php?video=bAOt0_qfp6Y&r=UURoTQ%2FwGv9ocu0cPhPwMEBp2ofP0IbeSxUDj79r9DI%3D
Video imefanyika jijini Los Angeles, Marekani. Wimbo huo ulirekodiwa kitambo baada ya Diamond kumfuata Ne-Yo Nairobi alikoenda kwenye kipindi cha Coke Studio Afrika, msimu wa tatu.
Baada ya hapo wawili hao walikutana tena Marekani kumalizia baadhi ya vipande. Mwezi May, Ne-Yo na Diamond waliuimba wimbo huo pamoja kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, kwenye tamasha la Jembeka.
Tazama baadhi ya picha za behind the scenes.

No comments